INSTRUMENTAL ZA BURE MPAKA KWENYE SIMU
Hapa utapata instrumental /beats zote kali za nyimbo za bongo fleva pia nje a bongo fleva nazungumzia nyimbo za nje ya Tanzania ambazo unaweza kuzitumia katikaharakati zako za kimziki.
Tunakupa bure kabisa utaweza kuzidownload moja kwa moja katika blog hii pendwa. Usikae mbali na blog hii kwani vitu vingi na vikali vinakuja. Hii ni MMBUGU BLOGSPOT mahala sahihi kwako.
Post Comment
No comments